ASILIA
- KLB
- Mwongozo wa Mwalimu
- Oxford
- Kamusi
JUMA | KIPINDI |
SOMO |
SHABAHA |
MBINU |
VIFAA |
ASILIA |
MAONI |
1 | 4-6 | KUFUNGUA SHULE NA KUSAHIHISHA KAZI YA LIKIZO | |||||
2 | 5-6 | Fasihi
Hadithi fupi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na lugha |
Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine |
|
3 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza
Fasihi simulizi na fasihi andishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuweza kubainisha sifa za fasihi simulizi na fasihi andishi pamoja na tofauti, aidha tanzu zake |
Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali |
Jedwali Utendaji wa wanafunzi |
C. Kuhenga
Fasihi simulizi na tamathali za usemi KLB BK 4 UK 4-19 Chem BK 4 UK 4 |
|
2 | Isimu Jamii
Maana, lugha na mawasiliano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza maana ya isimu jamii, umuhimu wake, maana ya lugha, dhima na uhusiano kati ya mawasiliano na lugha |
Kujadiliana Kusikiliza Kuuliza maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
I.I Odeon a M. Geoffrey Fani ya isimu jamii UK 1-8 |
||
3 | Sarufi
Vivumishi, ngeli za majina na upatanishi wake |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuvibainisha vivumishi vya sifa, vionyeshi, idadi na kuvitumia pamoja na ngeli mbalimbali katika sentensi |
Kuuliza Kusikiliza Kujibu maswali |
Jedwali, kadi zenye vivumishi vya sifa vionyeshi na idadi |
Chem BK4 UK 102 KLB BK4 UK 26-27 Nkwera: Fasihi na sarufi UK 28 |
||
4 | Kusoma
Matangazo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma kwa sauti matangazo kwa ufasaha na utaratibu tofauti Kuyatofautisha matangazo hayo |
Kutafuta matangazo mbalimbali Kubainisha sifa zake |
Nakala za matangazo ya redio nay a kuandikwa |
Chem. UK 102 KLB BK4 UK 26 |
||
5 | Kuandika
Barua rasmi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua sehemu muhimu za kuzingatia na kuzitilia maanani ili kuweza kutunga barua nzuri ipasavyo |
Maelezo, kujadiliana na kuandika barua |
Nakala za barua rasmi |
Chem. UK 32 KLB BK4 UK 8-15 Mwongozo wa uandishi wa insha |
||
6 | Fasihi
Hadithi Fupi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma na kuchambua ploti ya hadithi, dhamira, maudhui, lugha na wahusika katika hadithi
|
Kujadiliana Kuuliza Kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine |
||
4 | 1 | Kuandika insha ya methali | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha maana bayana na batini, visa katika kubuni insha inavyostahiki |
Utendaji wa wanafunzi |
Mifano ya insha za methali |
Chem. UK 66 KLB BK4 UK 28-29, 16-17 |
|
2 | Kusikiliza na kuzungumza | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma na kuelewa taarifa, kudondoa mambo muhimu kwa kuzingatia matamshi bora na lugha |
Utendaji wa wanafunzi Kuuliza na kujibu maswali Majadiliano |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Tuki: kamusi sanifu KLB BK4 UK30-32 |
||
3 | Sarufi
Nomino/jina |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Utambuzi wa aina mbalimbali za nomino, kuzitolea mifano katika sentensi sahihi |
Kusikiliza Kuuliza Kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Chem. UK 5 KLB BK4 UK 32-35 F.V. Nkwera |
||
4 | Kusoma kwa mapana
Magazeti |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuwa staid katika usomaji Kuzingatia matamshi bora Kudondoa hoja za kitaifa na kimataifa na zinazohusiana na janga la ukimwi |
Majadiliano na usomaji wa magazeti |
Taifa Leo Majira Majarida Ya Kiswahili Katika maktaba |
Magazeti ya magktaba KLB BK4 UK 35-37 |
||
5-6 | Fasihi
Hadithi Fupi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana Kuuliza Kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine |
||
5 | 1 | Kuandika
Muhtasari |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Uzingativu wa kanuni za muhtasari Kudondoa hoja muhimu bila kubadili maana na kuandika muhtasari |
Kusoma makala Kudondoa hoja muhimu na kuandika muhtasari |
Fungu la ufupisho |
KLB BK4 UK 37-38 Tuki Kamusi sanifu |
|
2 | Kusikiliza na kuzungumza:
Mtandao |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuweza kuwasiliana kwa mtandao na kutambua istilahi zinazohusiana na mtandao |
Majadiliano Kuuliza Kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Chem. UK 137 KLB BK4 UK 39-41 Tuki Kamusi sanifu |
||
3 | Sarufi
Vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuvitanbua na kutaja aina zake na kuweza kuvitungia sentensi |
Kutambulisha vitenzi
Kuuliza Kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Chem. UK 39 KLB BK4 UK 43-46
|
||
4 | Kuandika
Memo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambulisha aina mbalimbali za meme na kuandika ujumbe kwa kutumia meme |
Maswali Majadiliano Kujibu maswali |
Tarakilishi Rununu Nukilishi |
Chem. UK 78 KLB BK4 UK 46-50 |
||
5 | Isimu Jamii
Hadhi na chimbuko la lugha ya Kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuweza kuelewa hadhi ya lugha ya Kiswahili na chimbuko la lugha hii katika upwa wa pwani ya Afrika mashariki |
Majadiliano Kusoma Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 9-21 |
||
6 | Fasihi
Hadithi fupi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na matumizi ya lugha |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine |
||
6 | 1 | Kusikiliza na kuongea
Methali na misemo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuzingatia matamshi sahihi, kuelewa maana, methali zilizo sawa na zenye maaana kinzani |
Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali |
Vinasa sauti Picha na michoro |
Kamusi ya methali Kamusi ya misemo |
|
2 | Kusoma kwa ufahamu
Haki za binadamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Matamshi sahihi, kuelewa maana, msamiati ili kuweza kujibu maswali ipasavyo |
Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Tuki Kamusi sanifu KLB BK4 UK 56-58 |
||
3 | Sarufi
Viwakilishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Aina za viwakilishi zitambulishwe na ziweze kutumika katika umoja na wingi ipasavyo katika mwasiliano |
Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Chem. UK 17 KLB BK4 UK 58-60 Oxford BK4 UK |
||
4 | Isimu Jamii
Dhana ya lahaja za Kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuelewa dhana ya lahaja za Kiswahili, zinakotumika na lafudhi zake ipasavyo |
Majadiliano
Kusoma Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 27-32 |
||
5-6 | Fasihi
Hadithi Fupi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa ipasavyo |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine |
||
7 | 1 | Kuandika
Tahakiki |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Utambuzi wa vipengele vya tahakiki na kuvitumia ipasavyo katika zoezi la kutahakiki taarifa |
Kusikiliza Kuuliza maswali Kujadiliana |
Tamthilia Riwaya Diwani ya ushairi na hadithi fupi |
KLB BK4 UK 75-78 Rejea zote |
|
2-3 | Fasihi
Hadithi fupi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine |
||
4 | Kusikiliza na kuongea
Mafumbo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuimarisha matamshi bora Kunoa akili Kumakinika katika ufumbuzi na utatuzi wa matatizo/mafumbo |
Kushiriki katika ufumbuzi Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Chem. UK 71 KLB BK4 UK 79-81 |
||
5 | Fasihi simulizi
Lakabu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuzingatia matamshi bora Kuwa watambuzi na wachunguzi ili kuweza kuunda na kutumia lakabu ipasavyo |
Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na bango lenye picha |
Chem. UK 60 KLB BK4 UK 79-81 |
||
6 | Kusoma
Viwanda |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusomakuimarisha matamshi bora na kuweza kuujua na kuutumia ipasavyo Kujibu maswali ipasavyo |
Kusoma Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Tuki Kamusi sanifu KLB BK4 UK 84-88 |
||
8 | 1 | Sarufi
Viunganishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuvitambua na kuvitumia kwa usahihi katika mazungumzo na pia kwenye sentensi ipasavyo |
Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Jedwali Vifaa halisi Picha na bango lenye picha |
F.V Nkwera Sarufi na Fasihi Chem. UK 97 KLB BK4 UK 88-89 |
|
2 | Kusoma
Wavuti |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma kwa matamshi bora Kutambua maana ya wavuti na istilahi zake na kuzitumia ipasavyo |
Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Tuki Kamusi sanifu KLB BK4 UK 89-91 |
||
3 | Kuandika
Simu na Memo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kudurusu kuhusu sehemu muhimu za simu, memo na kuzibainisha ili kuweza kudhihirisha matumizi yake ipasavyo katika mtungo |
Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kutunga mtungo |
Vifaa halisi Picha na bango lenye picha |
Chem. UK 193 KLB BK4 UK 91-93 Mwongozo wa insha |
||
4 | Isimu Jamii
Usanifishaji wa Kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuelewa sababu na jinsi Kiswahili kilivyosanifishwa baada ya kumaizi maana ya usanifishaji Kujadiliana |
Majadiliano Kusoma Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 33-37 |
||
5-6 | Fasihi
Hadithi Fupi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine |
||
9 | 1 | Kusikiliza na kuongea
Bungeni |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuzingatia matamshi bora Kustawisha mawasiliano na itifaki, aidha istilahi sahihi za bunge |
Kusoma kwa sauti © Education Plus Agencies Kujadiliana Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Chem. UK 61 KLB BK4 UK 94-97 |
|
2 | Kusoma
Kumbukumbu za mkutano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma kwa matamshi bora, kuelewa msamiati, kumudu kuandika kumbukumbu za mkutano ipasavyo |
Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Nakala za kumbukumbu za mkutano |
Chem. UK 169 KLB BK4 UK 97-99 |
||
3 | Sarufi
Vielezi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua aina mbalimbali za vielezi na kuvitumia katika sentensi na mawasiliano |
Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Chati ya vielezi Utendaji wa wanafunzi |
Chem. UK 75-76 KLB BK4 UK 100-101 Nkwera 24-26 |
||
4-6 | LIKIZO FUPI | ||||||
10 | 1-2 | LIKIZO FUPI | |||||
3 | Kusoma
Riwaya teule |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma na kuelewa mambo yahusuyo riwaya, kujadili maudhui, kiini, wahusika na mbinu za kisanaa na za lugha |
Kusoma Kujadiliana |
Vitabu vya riwaya (hadithi) |
Chem. UK 55, 65 KLB BK4 UK 102 |
||
4 | Isimu Jamii
Maendeleo ya Kiswahili nchini Kenya |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kujadiliana na kuweza kuelewa hatua ambazo lugha ya Kiswahili imepiga nchini Kenya ipasavyo |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 38-51 |
||
5-6 | Fasihi
Hadithi Fupi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine |
||
11 | 1 | Sarufi
Vihusishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha aina mbalimbali za vihusishi na kuweza kuvitumia ipasavyo katika sentensi na katika mawasiliano |
Kusikiliza Kutunga sentensi Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Chem. UK 108 KLB BK4 UK 110 |
|
2 | Sarufi
Vivumishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha aina mbalimbali za vivumishi na kuweza kuvitumia ipasavyo katika sentensi na katika mawasiliano |
Kusikiliza Kutunga sentensi Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Chem. UK 108 KLB BK4 UK 110 |
||
3 | Isimi Jamii
Chamgamoto na mikakati ya kuimarisha Kiswahili Kenya |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kujadiliana na kuweza kuelewa hatua ambazo lugha ya Kiswahili kimepitia ili kukabili changamoto zinazokikabili |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 52-58 |
||
4 | Isimi Jamii

Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa katika hadithi fupi |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine |
||
12 | 1 | Kusoma
Mashairi huru |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha tofauti ya mashairi, arudhi na huru Kuyachambua bila utatanishi |
Kukariri shairi Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali |
Makala ya majarida ya kiswahili |
Chem. UK 113, 173 KLB BK4 UK 114 Tuki: Kamusi sanifu |
|
2 | Kuandika
Utungaji wa kisanii |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuzingatia kanuni za utunzi wa mashairi huru na kuweza kutunga mashairi mazuri |
Kusikiliza
Kuuliza maswali Kuweza kutunga mashairi mazuri yaliyo na maudhui |
Mifano ya mashairi huru |
Chem. UK 173 KLB BK4 UK 114 Mwongozo wa utunzi |
||
3 | Sarufi
Vihisishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha aina mbalimbali za vihisishi na kuweza kuvitumia ipasavyo katika sentensi na katika mawasiliano |
Kusikiliza Kutunga sentensi Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Chem. UK 213 KLB BK4 UK 110-111 Nkwera |
||
4 | Kusikiliza na kuzungumza
Mjadala |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Mada ya mjadala Kuigiza mazungumzo na kuweza kuwasilisha hoja kwa ufasaha |
Kujadiliana na kuelekezwa |
Chati Mchoro na picha |
KLB BK4 UK 115-117 |
||
5-6 | Fasihi
Hadithi Fupi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa katika hadithi fupi |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine |
||
13 | 1 | Kusoma
Utandawazi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kukuza ustadi wa kuso,a kwa ufasaha Kujadili msamiati na kuutumia katika sentensi |
Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali |
Ramani ya ulimwengu Michoro na picha |
Chem. UK 160 KLB BK4 UK 117-119 Tuki: Kamusi sanifu |
|
2 | Sarufi
Mwingiliano wa maneno |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuyatambua maneno/istilahi ziundazo sentensi na kuzitumia ipasavyo kwa ufasaha |
Kuitunga sentensi Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Chati na michoro |
KLB BK4 UK 76-77 |
||
3 | Fasihi
Kudurusu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuelewa na kushiriki katika kutoa mchango/hoja za kujibu swali lolote katika nyanja yoyote ya fasihi |
Kujadiliana
Kuuliza na kujibu maswali Kushiriki kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Maswali ya kudurusu ya riwaya, tamthilia, ushairi na hadithi fupi |
||
4 | Ushairi
Bahari/aina za ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kudfurusu kwa kukumbuka na kutaja ainana sifa za bahari hizi za ushairi Kuchambua ushairi ipasavyo na kutambulisha bahari yake |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Mashairi |
E. Kezilahabi Kunga za Ushairi Malenga wa Ziwa kuu |
||
5-6 | Isimu Jamii
Changamoto zinazokabili Kiswahili nchini na mikakati ya kuimarisha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha mikakati inayokikabili Kiswahili kwa sasa nchini Kenya Kujadiliana na pia kubainisha mikakati ya kuzitatua |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 52-55 |
||
14 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza
Matamshi bora (kudurusu) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutamka irabu na konsonanti vizuri ipasavyo na kuweza kuzitambulisha |
Kutamka
Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Chem. BK1 UK 3-8 KLB BK1 UK 16 Oxford BK1 UK 1-3 |
|
2 | Kusikiliza na kuzungumza
Matamshi bora (kudurusu) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha ala za kutamkia, irabu zinakotamkwa hali kadhalika konsonanti Kutambulisha aina za konsonandi
|
Kutunga sentensi sahihi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Chem. BK1 UK 3-8 KLB BK1 UK 16 Oxford BK1 UK 1-3 |
||
3 | Sarufi
Kuakifisha (kudurusu) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha alama za kuakifisha na kuweza kuzitumia ipasavyo katika maandishi |
Kusikiliza Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Chem. BK1 UK 20,37,69,92,131,138, 180,196 KLB BK1 UK 22-23 |
||
4 | Isimu Jamii
Sajili katika muktadha isiyo rasmi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza na kuelewa Kubainisha sajili na sifa za lugha ya nyumbani, hospitali, sokoni, mkahawani na mazungumzo ya kawaida |
Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 88-92 |
||
5-6 | Fasihi
Kudurusu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa |
Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi |
Vifaa halisi Picha na michoro |
Rejea zote za fasihi |
||
15 | MITIHANI |