Home Teachers' Resources KISWAHILI FORM 2 SCHEMES OF WORK TERM 1-3

KISWAHILI FORM 2 SCHEMES OF WORK TERM 1-3

ASILIA

  1. KLB
  2. Mwongozo wa Mwalimu
  3. Oxford
  4. Kamusi
JUMA KIPINDI  

SOMO

 

SHABAHA

 

MBINU

 

VIFAA

 

ASILIA

 

MAONI

1 4-6 KUFUNGUA SHULE NA KUSAHIHISHA KAZI YA LIKIZO
2 1 MTIHANI
2 Isimu Jamii

Mazungumzo hotelini

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Wanafunzi waweze kutamka maneno ipasavyo

Waweze kueleza sifa za lugha ya hotelini

 

Kusoma

Kueleza sifa

 

Chaki

Ubao

Madaftari

 

Fasaha BK 1 UK 11

KLB BK 2 UK 1-3

Chem BK 2 UK 26

3 Fasihi

Vipengele muhimu

Ploti mahusika

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza vipengele

Kueleza wahusika na sifa zao

 

Kueleza

Kutoa mifano

 

Chaki

Ubao

Madaftari

Fasaha BK 2

UK 42, 64

KLB BK 2 UK 3-8

Chem BK 2 UK 8

4 Fasihi

Dhamira/maudhui

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza maana ya maudhui, dhamira na kutoa mifano

 

Kueleza

Kutoa mifano

 

Chaki

Ubao

Madaftari

Fasaha BK 2

UK 42, 64

KLB BK 2 UK 3-8

Chem BK 2 UK 8

5 Fasihi

Mtindo wa lugha na sanaa

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutofautisha mitindo miwili

 

Kueleza

Kutambua

 

Chaki

Ubao

Madaftari

Fasaha BK 2

UK 42, 64

KLB BK 2 UK 3-8

Chem BK 2 UK 8

6 Uchambuzi wa fasihi Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuchambua makala ya fasihi

 

Kusoma

Kujibu maswali

Chaki

Ubao

Madaftari

 

KLB BK 2 UK 6-8

Chem BK 2 UK 8

3 1 Sarufi

Mofimu

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza maana ya mofimu

 

Kueleza

Kutoa mifano

Chaki

Ubao

Madaftari

Fasaha BK 2 UK 102

KLB BK 2 UK 8-9

Chem BK 2 UK 6-8

2 MTIHANI
3 Sarufi

Viambishi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutofautisha viambishi awali na tamati

 

Kusoma

Kuandika

Chaki

Ubao

Madaftari

Fasaha BK 2 UK 114

KLB BK 2 UK 10

Chem BK 2 UK 114

4 Insha ya maigizo Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuandika mchezo wa kuigiza

 

Kueleza

Kuandika

Chaki

Ubao

Madaftari

Fasaha BK 2 UK 22

KLB BK 2 UK 12

Chem BK 2 UK 29

5 Isimu Jamii

Uhusiano wa kitabaka

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza jinsi ambavyo watu wa matabaka mbalimbali wanavyohusiana

 

Kusoma

Kujadili

 

Chaki

Ubao

Madaftari

 

Fasaha BK 2 UK 22

KLB BK 2 UK 13

Chem BK 2 UK 29

6 Ufahamu

Matumizi ya kamusi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma makala na kujibu maswali ya ufahamu

 

Kusoma

Kujadili

Kujibu maswali

 

Chaki

Ubao

Madaftari

 

KLB BK 2 UK 15

4 1 Sarufi

Nomino

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutambua aina za nomino

Kueleza kwa kutoa mifano

kuandika

Chaki

Ubao

Madaftari

Fasaha BK 2 UK 6

KLB BK 2 UK 29

Chem BK 2 UK 28

2 Nomino Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kufafanua aina za nomino

Kueleza/kutaja

Kutoa mifano

Kufanya zoezi

Chaki

Ubao

Madaftari

Fasaha BK 2 UK 6

KLB BK 2 UK 29

Chem BK 2 UK 28

3 MTIHANI
4-6 Vivumishi Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kubainisha aina ya vivumishi

Kueleza/kutaja

Kutoa mifano

Kufanya zoezi

Chaki

Ubao

Madaftari

 

KLB BK 2 UK 22

5 1 Insha ya mahojiano Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutofautisha dayolojia na mahojiano

Kueleza/kutaja

Kutoa mifano

Kufanya zoezi

Chaki

Ubao

Madaftari

Fasaha BK 2 UK 31

KLB BK 2 UK 29

Chem BK 2 UK 214

2 Fasihi

Vitendawili

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kubainisha vitendawili mbalimbali

 

Kusoma

Kutoa mifano

Kufanya zoezi

 

Chaki

Ubao

Madaftari

Fasaha BK 2

UK 109-117

KLB BK 2 UK 30

Chem BK 2 UK 184

3 MTIHANI
4 Mafumbo Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kubainisha aina za mafumbo

Kusoma

Kutoa mifano

Kutoa majibu

Chaki

Ubao

Madaftari

Fasaha BK 2 UK 57

KLB BK 2 UK 30

Chem BK 2 UK 184

5-6 Ufahamu

Uchafuzi wa mazingira

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kujibu maswali ya msamiati

Kusoma

Kujadili

Kufanya zoezi

Chaki

Ubao

Madaftari

 

KLB BK 2 UK 33

6 1 Sarufi

Vivumishi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutambua na kutunga sentensi

Kutoa mifano

Kutunga sentensi

Kufanya zoezi

Chaki

Ubao

Madaftari

Fasaha BK 2 UK 37

KLB BK 2 UK 36

Chem BK 2 UK 74

2-3 Fasihi

Mighani/visakale

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutoa maana na mifano

Kutaja sifa

 

Kutaja

Kutoa mifano

 

Chaki

Ubao

Madaftari

 

Fasaha BK 2 UK 74

KLB BK 2 UK 58

Chem BK 2 UK 196

4 MTIHANI
5 Ufahamu Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuboresha matamshi yao

 

Kuandika

Chaki

Ubao

Madaftari

 

KLB BK 2 UK 80

6 Muhtasari Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Waweze kusoma makala na kuyafupisha ipasavyo

 

Kusoma

Kuandika

 

Chaki

Ubao

Madaftari

 

KLB BK 2 UK 82

7 1 Viwakilishi Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutaja aina ya viwakilishi na kuvitungia sentensi

 

Kutambua

Kutunga sentensi

 

Chaki

Ubao

Madaftari

 

Fasaha BK 2 UK 37

KLB BK 2 UK 50

Chem BK 2 UK 85

2 Kuandika

Tahadhari/onyo/ilani

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuandika kwa hati nadhifu

Kusoma

Kujadili

Kufanya zoezi

Chaki

Ubao

Madaftari

 

KLB BK 2 UK 53

Chem BK 2 UK 119

3 Kusikiliza na kuzungumza

(Visawe)

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutamka maneno kwa ufasaha

 

Kusoma

Kueleza maana

Chaki

Ubao

Madaftari

 

KLB BK 2 UK

Kamusi

4 Mazungumzo hospitalini Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza sifa za lugha ya hospitalini

Kusoma

Kueleza

Kuandika nakala

Chaki

Ubao

Madaftari

Fasaha BK 2 UK 29

KLB BK 2 UK 62

Chem BK 2 UK 159

5 MTIHANI
6 Ufasaha wa lugha

Misemo

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutambua maana

 

Kueleza

Kutunga sentensi

Chaki

Ubao

Madaftari

 

KLB BK 2 UK 76

8 1 Ufahamu

Maadili mema

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma makala kwa ufasaha

Kusoma

Kutaja misamiati

Kufanya zoezi

Chaki

Ubao

Madaftari

 

KLB BK 2 UK 80-82

2 Muhtasari Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutambua hatua muhimu za ufupisho

 

Kusoma

Kufupisha habari

Chaki

Ubao

Madaftari

 

KLB BK 2 UK 80-82

3 MTIHANI
4-6 LIKIZO FUPI
9 1-2 Sarufi

Vitenzi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutambua aina ya vitenzi na kuvitungia  sentensi

 

Kutoa maana

Kutunga sentensi

Kufanya zoezi

 

Chaki

Ubao

Madaftari

 

KLB BK 2 UK 83

3 Isimu jamii

Mazungumzo

Posta

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza sifa za lugha ya posta

 

Kusoma kwa sauti

Kujadili sifa

 

Picha

 

Fasaha BK 2 UK 165

KLB BK 2 UK 89

4 Kuandika

Insha ya mdokezo

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuandika hati nadhifu

 

Kuandika

 

Mfano

Fasaha BK 2 UK 10

KLB BK 2 UK 87

Chem BK 2 UK 143

5 Ufahamu

Repoti kuhusu ukimwi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma kwa makini na kujibu maswali ya ufahamu

 

Kusoma

Kuandika

 

Nakala

 

KLB BK 2 UK 91

6 MTIHANI

 

 

 

10 1 Ufahamu

Udurusu

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma kwa ufasaha

 

Kusoma na kuandika

Chaki

Ubao

Madaftari

 

KLB BK 2 UK 91

2 MTIHANI
3 Muhtasari

repoti kuhusu ukimwi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kufupisha habari bila kupoteza maana

 

Kusoma

Kufanya zoezi

Chaki

Ubao

Madaftari

 

KLB BK 2 UK 91

4 Kuandika

Insha ya ripoti

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuandika ripoti kuzingatia mtindo mwafaka

 

Kueleza

Kuandika

 

Mifano

 

Fasaha BK 2 UK 55

KLB BK 2 UK 91-94

Chem BK 2 UK 178

5-6 Sarufi

Viwakilishi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutambua aina ya viwakilishi

Kueleza

Kutunga sentensi

Kufanya zoezi

Chaki

Ubao

Madaftari

Fasaha BK 2 UK 49

KLB BK 2 UK 94

Chem BK 2 UK 228

11 1 Kuandika

Barua simu

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuandika barua yenye mantiki

 

Kueleza

Kuandika

Chaki

Ubao

Madaftari

Fasaha BK 2 UK 175

KLB BK 2 UK 108

Chem BK 2 UK 241

2-3 Viwakilishi vya pekee, nafsi Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kubainisha na kuvitumia katika sentensi

 

Kutoa mifano

Kutunga sentensi

Kufanya zoezi

 

Chaki

Ubao

Madaftari

 

Fasaha BK 2 UK 178

KLB BK 2 UK 98

Chem BK 2 UK 228

4 MTIHANI
5 Mazungumzo

Kituo cha polisi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza sifa za lugha inayotumika

 

Kutaja sifa

Kuandika nakala

Chaki

Ubao

Madaftari

 

KLB BK 2 UK 102

Chem BK 2 UK 208

6 Ufahamu Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma kwa ufasaha

Kusoma

Kujadili

Kuandika

Chaki

Ubao

Madaftari

 

KLB BK 2

UK 104-107

12 1 Viwakilishi sifa Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza na kutoa mifano katika sentensi

 

Kutaja

Kutunga sentensi

Kufanya zoezi

 

Chaki

Ubao

Madaftari

 

Fasaha BK 2 UK 175

KLB BK 2 UK 98

Chem BK 2 UK 241

2 Viwakilishi idadi Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza na kutoa mifano katika sentensi

 

Kutaja

Kutunga sentensi

Kufanya zoezi

 

Chaki

Ubao

Madaftari

 

Fasaha BK 2 UK 175

KLB BK 2 UK 98

Chem BK 2 UK 241

3 Vimilikishi

 

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza na kutoa mifano katika sentensi

 

Kutaja

Kutunga sentensi

Kufanya zoezi

 

Chaki

Ubao

Madaftari

 

KLB BK 2

UK 109-110

4 ‘A” unganifu Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza na kutoa mifano katika sentensi

 

Kutaja

Kutunga sentensi

Kufanya zoezi

 

Chaki

Ubao

Madaftari

 

KLB BK 2

UK 109-110

5 Viwakilishi virejeshi Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kueleza na kutoa mifano katika sentensi

 

Kutaja

Kutunga sentensi

Kufanya zoezi

 

Chaki

Ubao

Madaftari

 

KLB BK 2

UK 113

6 MTIHANI
13 1 Insha

Matangazo ya redio, runinga, magazetini

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutunga matangazo

Kusoma

 

Kueleza

Kusoma

Kuandika

 

Chaki

Ubao

Madaftari

 

Fasaha BK 2 UK 163

KLB BK 2 UK 115

2 MTIHANI
3 Matamshi bora

Vitate S na Z

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutamka maneno kwa ufasha

 

Kubainisha

Kusoma

Chaki

Ubao

Madaftari

 

Fasaha BK 2 UK 1

KLB BK 2 UK 120

4 Ufahamu

Dondoo

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kujibu maswali ya ufahamu

Kusoma

Kujadili

Kuandika

Chaki

Ubao

Madaftari

Fasaha BK 2 UK 112

KLB BK 2

UK 122-124

Chem BK 2 UK 168

5 Kusoma maktabani

Shairi arudhi

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kusoma na kufanya utafiti juu ya ushairi

 

Kusoma

Kutafiti

Kuandika

 

Chaki

Ubao

Madaftari

 

Fasaha BK 2 UK 88

KLB BK 2 UK 125

Chem BK 2 UK 177

6 Vielezi

Vielezi wakati

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kutumia vielezi katika sentensi ipasavyo

 

Kutambua

Kutunga sentensi

 

Chaki

Ubao

Madaftari

Fasaha BK 2 UK 60, 62

KLB BK 2

UK 125-126

Chem BK 2 UK 250

14 1 Insha

Kuandika dayolojia

Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

Kuandika kwa hati nadhifu

Kusoma

Kujadili

Kufanya zoezi

Chaki

Ubao

Madaftari

Fasaha BK 2 UK 212

KLB BK 2 UK 119

Chem BK 2 UK 233

2-6 MARUDIO YA MTIHANI
15 1-4 KUFUNGA SHULE KWA LIKIZO LA APRILI
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;

 

 

Chaki

Ubao

Madaftari

 

Fasaha BK 2 UK

KLB BK 2 UK

Chem BK 2 UK

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here