• Sat. Oct 12th, 2024

CLASS 7 KISWAHILI SCHEMES OF WORK TERM 1-3

ByCitizen digital

Oct 9, 2024

MAAZIMIO YA KAZI

DARASA LA_kwanza___7___MUHULA_WA KWANZA______MWAKA________

JUMA KIPINDI FUNZO MADA MALENGO SHUGHULI ZA MWALIMU NA MWANA FUNZI NYENZO ASILIA
1 1 Kusikiliza na kuzungumza/kongea Maamkizi na adabu jema Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kutumia baadhi ya msamiati wa maakizi, k.m. hujambo :sijambo. -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuni

-Kamusi

KS KCM

UK 2

MWM UK1

2 kusoma

Ufahamu

Chada chema Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  ufahamu na kuigiza mchezo huo na kujibu maswali ya ufahamu -kueleza

-kutaja

-kuandika

-kuiga

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 3

MWM UK3

3 Maombo ya lugha Shairi ‘saiti kwenda wema’ Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma na kukariri shairi  ‘na kueleza fuzo la shairi -kusoma

-kuandika

-kutamka

-kutumia

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 4

MWM UK4

4 Sarufi Uakifishaji Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kutumia alama za uakifishaji -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK5

MWM UK4

5 Kuandika (insha) Heshima Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika na kutumia  maneno ya heshima ifaayo katika insha -kueleza

-kutaja

-kuandika

-kuiga

-Picha kiabuni

-Kamusi

KS KCM

UK5-7

MWM UK5

2 1 Kuongea/kusikiliza vitate Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha kutamka na kutofautisha maana ya vitate -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK7

MWM UK7

2 Ufahamu Barua ya kirafiki Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kujibu maswali na kuandika barua ya kirafiki kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK8

MWM UK8

3 Mapambo ya lugha Tanakali Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kutambua na kutumia tanakali za sauti katika sentensi -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK9

MWM UK9

4 Sarufi Uakifishaji Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kubainisha na kutumia alama za uakifishaji katika sentensi -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuni

-Kamusi

KS KCM

UK11

MWM UK10

5 Kuandika (insha) Ngoma ya umundi

(barua)

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha (barua) akitumia maneno aliyopewa kwa usahihi -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK12

MWM UK10

3 1 Kusikiliza na kuzungumza Visawe Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha visawe na kutumia baadhi ya misamiati wa visawe kwa usahihi -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK 13

MWM UK11

2 Ufahamu Hotuba

Upatilize udungo

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kusoma kutaja na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuni

-Kamusi

KS KCM

UK 14

MWM UK12

3 Mapabo ya lugha Methali zenye ‘ni’ Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha na kutumia  baadhi ya  methali zenye ‘ni’ -kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 15

MWM UK14

4 Sarufi Matumizi ya ‘ni’ Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,  kutambua na kutumia ‘ni’ kwa usahihi -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK17

MWM UK26

5 Kuandika  (insha) Hutuba Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha akiunganisha sehemu za sentensi usahihi -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 19

MWM UK18

4 1 Kusikiliza na kuzungumza Kisa Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze  kutambua , kueleza na kutumia msamiati kuipamba lugha kwa usahihi -Picha kiabuni

-Kamusi

KS KCM

UK 22

MWM UK20

2 Ufahamu Nyota njema Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 25

MWM UK22

3 Mapambo ya lugha Fani mbalimbali Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,  kutambua na kutumia fani mbalimbali katika sentensi -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK28

MWM UK23

4 Sarufi Katika  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia ‘ katika’  kwa usahihi -Picha kiabuni

-Kamusi

KS KCM

UK29

MWM UK24

5 Kuandika (insha) Uadishi wa hadithi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha kwa kujaza mapengo ukitumia maneno uliyopewa -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK30

MWM UK

5 1 Kusikiliza na

kuzungumza

 

Nomino ambata Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza, kuorodhesha na kufafanua  baadhi ya nomio ambata -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK 12

MWM UK25

2 Ufahamu Uongo haufai Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,  kutambua  na kujibu maswali yaufahamu -kusikiliza

-kutamka

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuni

-Kamusi

KS KCM

UK38

3 Mapambo ya lugha Methali zenye kwa Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia na kuandika methali zenye neno ‘kwa’ kwausahihi -kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK39

MWM UK

4 Sarufi ‘kwa’

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia ‘kwa’katika sentensi kwa usahihi -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK 40

MWM UK28

5 Kuandika (insha) Picha hadithi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze  kubuni kuandika insha kwa kujaza mapengo ukitumia na kufasiri michoro walizo pewa -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-Picha kiabuni

-Kamusi

KS KCM

UK 13

MWM UK

6 1 Kusikiliza na kuzungumza Majina ya kike na kieme

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja na na kueleza na kutumia baadhi ya majina ya kike na kiume -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 30

MWM UK29

2 Ufahamu Barua rasmi

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,  kutambua na kujibu  maswali ya ufahamu kwa usahihi -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK31

MWM UK31

3 Mapambo ya lugha Maneno ya vitendo vya mwili

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia na kuandika maneno ya vitendo vya mwili -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuunganisha

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK  34

MWM UK33

4 Sarufi Viulizi

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia  viulizi  katika sentensi kwa usahihi -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuni KS KCM

UK  35

MWM UK34

5 Kuandika (insha) Barua rasmi

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni na kuandika kwa hati zinazosomeka  barua rasmi kulingana na kichwa alichopewa -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunz

-Kamusi

-Kamusi i

KS KCM

UK  46

MWM UK35

8 1 Kusikiliza na kuzungumza Redio na telivisheni Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuelezana kusikiliza ujube kwa redio au televisheni kufafanua ujube -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuunganisha

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK 37

MWM UK37

2 Ufahamu Malaria

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kueleza na kujibu  maswali ya ufahamu kwa usahihi -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-Picha kiabuni MWM UK39
3 Mapambo ya lugha Semi za neno ‘piga’

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza na kutumia  semi zenye neno ‘piga’ katika sentensi kwa usahihi -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

MWM UK40
4 Sarufi ‘po’ ya wakati

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kubainisha na kutumia po’ ya wakati  kwa usahihi -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-Picha kiabuni

-Kamusi

MWM UK
5 Kuandika (insha) Malaria  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni na kutunga na kuandika  insha  kwa kuzipanga sentensi ulizo pewa -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuunganisha

-kadi

-picha

michoro

MWM UK40
9 1 Kusikiliza na kuzungumza Ukimwi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma nakutumia baadhi ya msamiati wa kujadili athari za ukimwi -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

Kitabu cha wanafunzi MWM UK
2 Ufahamu Ukimwi 

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kueleza na kujibu  maswali ya ufahamu kwa usahihi -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuunganisha

-kadi

-picha

michoro

-Kamusi

MWM UK42
3 Mapambo ya lugha Vitendawili Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kutambua kutega na kutegua  vitendawili na maana zake katika sentensi -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuni MWM UK43
4 Sarufi Nge, Ngali

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza maana yatakiririna kutumia ‘nge’ na ‘ngali’ katika sentensi kwa usahihi -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuunganisha

Kitabu cha wanafunzi MWM UK45
5 Kuandika (insha) Ukimwi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha na kuandika insha kwa kujaza mapengo kwa maneno uliyopewa -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

MWM UK45
10 1 Kusikiliza na kuzungumza Uhusiano

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kufasiri maneno baadhi ya msamiati wa wa watu na nchi -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuunganisha

-Picha kiabuni MWM UK46
2 Ufahamu Kwame

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kuandika nakujibu maswali ya ufahamu -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunzi

-Kamusi

MWM UK47
3 Mapambo ya lugha Mafumbo

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kutambua na kufumba na kufumbua mafumbo  katika sentensi -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuunganisha

-kadi

-picha

michoro

MWM UK51
4 Sarufi ‘o’ rejeshi

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia na kueleza matumizi ‘o’ rejeshi kwa usahihi katika ngeli zote -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

Kitabu cha wanafunzi  

MWM UK52

5 Kusikiliza na kuzungumza Wazalendo

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika inshatatu juu ya kupigania uhuru  kutoka kwenye jedwali -kusikiliza

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Redio

runinga

-Kamusi

MWM UK 54
11

 

12 1-5 Marudio Marudio Mwanafunzi aweze:

–        kujibu maswali aliyoulizwa

–        kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali

–        kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka

–        kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani

-kueleza

-kuongoza kujibu maswali

-kusikiliza

-kuandika

 

 

-Kitabu cha mwana fuzi

-mitihani yajaribio

KS KCM

UK32-37

MWM UK115

 

13 1-5 Mutihani wa mwisho wa mwaka Marudio Mwanafunzi aweze:

–        kujibu maswali aliyoulizwa

–        kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali

–        kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka

–        kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani

-kueleza

-kuongoza kujibu maswali

-kusikiliza

-kuandika

 

 

-Kitabu cha mwana fuzi

-mitihani yajaribio

KS KCM

UK32-37

MWM UK115

 

MAAZIMIO YA KAZI

DARASA LA___7____MUHULA_WA PILI______MWAKA________

JUMA KIPINDI FUNZO MADA MALENGO SHUGHULI ZA MWALIMU NA MWANA FUNZI NYENZO ASILIA
1 1 Kusikiliza na kuzungumza/kongea Mapambo ya mwili Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kutumia baadhi ya msamiati wa mapambo ya mwili -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuni

-Kamusi

KS KCM

UK 60

MWM UK61

2 kusoma

Ufahamu

Nyama ya ulimi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  ufahamu na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi -kueleza

-kutaja

-kuandika

-kuiga

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 61

MWM UK62

3 Maombo ya lugha Semi zenye neno ‘ulimi’ Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kutamka na kutumia semi zenye neno ulimi  kwa usahihi -kusoma

-kuandika

-kutamka

-kutumia

-kadi

-picha

michoro

-Kamusi

KS KCM

UK 63

MWM UK63

4 Sarufi ‘o’ rejeshi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kubainisha na kutumia ‘’o’ rejeshi mwishoni mwa kitenzi  -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK 65

MWM UK62

5 Kuandika (insha) Mapambo  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika, kujadili  na kutumia  msamiati wa mapambo  kwa usahihi -kueleza

-kutaja

-kuandika

-kuiga

-Picha kiabuni

-Kamusi

KS KCM

UK 66

MWM UK63

2 1 Kuongea na kusikiliza Vifaa vya ufundi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha baadhi ya misamiati wa vifaa vya fundi Na kuitumia kwa usahihi -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK67

MWM UK64

2 Ufahamu Viatu Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kujibu na kuandika maswali yaufahamu kwa usahihi kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

-Kamusi

KS KCM

UK 69

MWM UK65

3 Mapambo ya lugha  methali Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kutambua na kutumia methali na maana katika sentensi -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK70

MWM UK66

4 Sarufi Hali ya kutendesha Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kubainisha na kunyambua vitenzi katika hali ya kutendesha -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

kunyambuamza

-Picha kiabuni KS KCM

UK 71

MWM UK67

5 Kuandika (insha) Hatua za kutengeneza viatu Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha akifuata hatua alizopewa kwa usahihi -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 73

MWM UK68

3 1 Kusikiliza na kuzungumza Majina ya nchi na ulaiya  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha kutaja na kueleza aina za bidhaaya majina ya nchi  na wenyenji wake -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK 76

MWM UK68

2 Ufahamu Olimpiki Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kusoma kujadili na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuni

-Kamusi

KS KCM

UK77

MWM UK70

3 Mapabo ya lugha Ufishadi umeenea Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,  kutambua na kukariri shairi ufihadi umeenea – kukariri

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK77

MWM UK71

4 Sarufi Nge, ngali (ukanusho) Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia ‘nge, na ngali katika ukanusho -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK 78

MWM UK72

5 Kuandika  (insha) Kazi nitakayoifanya Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika isha juu ya kazi ambayo wangependa kuifanya watakapo kuwa wakumbwa -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 78

MWM UK73

4 1 Kusikiliza na kuzungumza Vitawe Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze  kutambua , kubainisha vitawe na kutumia  katika sentensi -Picha kiabuni KS KCM

UK 109

MWM UK73

2 Ufahamu Tunda  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

-Kamusi

KS KCM

UK78

MWM UK

3 Mapambo ya lugha Methali Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,  kutambua maana  na kutumia methali  katika sentensi -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK 78

MWM UK74

4 Sarufi Viambishi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia viambishi mwanzoni na katikati ya neno  kwa usahihi -Picha kiabuni

-Kamusi

KS KCM

UK 79

MWM UK

5 Kuandika (insha) Insha methali Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya methali uliyopewa -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 80

MWM UK76

5 1 Kusikiliza na

kuzungumza

 

Malipo Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza, kuorodhesha na kutumia baadhi ya msamiati wa malipo -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

Kitabu cha

-Kamusi wanafunzi

KS KCM

UK 81

MWM UK78

2 Ufahamu Mkono mrefu Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,  kutambua  na kujibu maswali yaufahamu na kujadili mafunzo katika ngojera hili -kusikiliza

-kutamka

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuni KS KCM

UK 82

MWM UK79

3 Mapambo ya lugha Semi ‘mkono’ Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia semi zinazotumia neno mkono  -kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

-Kamusi

KS KCM

UK 83

MWM UK99

4 Sarufi Kutendana

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kunyambua kitenzi katika hali ya kutendeana na kutendatenda -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK 85

MWM UK81

5 Kuandika (insha) Picha hadithi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze  kubuni kuandika insha kwa kujaza mapengo ukitumia picha aliyopewa -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-Picha kiabuni

-Kamusi

KS KCM

UK 86

MWM UK82

6 1 Kusikiliza na kuzungumza Watu na kazi zao

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha, kueleza na kutumia baadhi ya  msamiati wa watu na kazi zao -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 87

MWM UK86

2 Ufahamu Ufinyanzi

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,  kujadili funzo,kutambua na kujibu  maswali ya ufahamu kwa usahihi -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK 88

MWM UK87

3 Mapambo ya lugha Wasakatonge

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia na kukariri shairi kwa maadhari na kuleza ujumbe -kukariri

-kusikiliza

-kutambua

-kuunganisha

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK  89

MWM UK88

4 Sarufi Viambishi

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kutumia na kuandika viamishi  awali na katikati mwa neno -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuni KS KCM

UK  90

MWM UK90

5 Kuandika (insha) Mjadala

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni na kuandika insha ya mjadala kulingana na kichwa alichopewa -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK  91

MWM UK91

8 1 Kusikiliza na kuzungumza Nomino za makundi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kumbainisha na kutumia  baadhi ya nomino za makundi -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuunganisha

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK  92

MWM UK92

2 Ufahamu Idd mubarak

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kujadili ,kueleza na kujibu  maswali ya ufahamu kwa usahihi -kujadili

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-Picha kiabuni KS KCM

UK 94

MWM UK92

3 Mapambo ya lugha Kanakali za sauti

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza maana na kutumia  tanakaliza sauti katika sentensi kwa usahihi -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK  95

MWM UK93

4 Sarufi Vivumishi

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kubainisha na kutumia vivumishi  ya sifa , nafsi na za ziada ipasavyo -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-Picha kiabuni KS KCM

UK  97

MWM UK96

5 Kuandika (insha) Sherehe Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha juu ya  sherehe  kulingana na kichwa alichopewa -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuunganisha

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 98

MWM UK97

9 1 Kusikiliza na kuzungumza Tarakimu Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma nakutumia baadhi ya tarakimu kutoka 1,000’000 hadi 10,000,000 nakuziandika -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK  99

MWM UK98

2 Ufahamu Mazingira yetu

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kueleza na kujibu  maswali ya ufahamu kwa usahihi -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuunganisha

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK  99

MWM UK97

3 Mapambo ya lugha Semi ‘shika’ Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,   kubaini na kutumia baadhi ya semi zenye neno  ‘shika’ -kusoma

-kusikiliza

-kukariri

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuni KS KCM

UK  100

MWM UK97

4 Sarufi Vivumishi

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kubainisha na kutumia vivumishi  vionyeshi  viulizi na ‘a’ unganifu kwa usahihi -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuunganisha

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK  100

MWM UK98

5 Kuandika (insha) Usafi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha na kuandika insha jinsi ya kufanya mitaa iwe safi -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK  102

MWM UK99

10 1 Kusikiliza na kuzungumza Huduma ya kwanza

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kufasiri maneno ya picha, kujadili nakufafanua baadhi ya matendo ya toa huduma ya kwanza -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuunganisha

-Picha kiabuni KS KCM

UK  102

2 Ufahamu Tangazo

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kuandika nakujibu maswali ya ufahamu -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK  103

3 Mapambo ya lugha Tanakali za sauti

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kutambua na kutumia  tanakali za sauti  zinazo eleza hali ya watu -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuunganisha

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK  104

MWM UK

4 Sarufi Kutendana

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia na kueleza vitenzi katika hali ya kutendana -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK  104

MWM UK

5 Kusikiliza na kuzungumza Matangazo

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusikiliza  na kuandika insha juu ya matangazo -kusikiliza

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Redio

runinga

KS KCM

UK  106

MWM UK

 

 

11 1-5 Marudio Marudio Mwanafunzi aweze:

–        kujibu maswali aliyoulizwa

–        kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali

–        kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka

–        kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani

-kueleza

-kuongoza kujibu maswali

-kusikiliza

-kuandika

 

 

-Kitabu cha mwana fuzi

-mitihani yajaribio

KS KCM

UK 107

MWM UK115

 

12 1-5 Mutihani wa mwisho wa mwaka Marudio Mwanafunzi aweze:

–        kujibu maswali aliyoulizwa

–        kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali

–        kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka

–        kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani

-kueleza

-kuongoza kujibu maswali

-kusikiliza

-kuandika

 

 

-Kitabu cha mwana fuzi

-mitihani yajaribio

KS KCM

UK32-37

MWM UK115

 

MAAZIMIO YA KAZI

DARASA LA____7___MUHULA WA ___3___MWAKA________

JUMA KIPINDI FUNZO MADA MALENGO SHUGHULI ZA MWALIMU NA MWANA FUNZI NYENZO ASILIA
1 1 Kusikiliza na kuzungumza/kongea Vifaa vya teknolijia Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kutumia baadhi ya msamiati wa vifaa vya teknolojia viwandani -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuni KS KCM

UK 114

MWM UK100

2 kusoma

Ufahamu

Tarakilishi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kujibu na kujadili ujube uliko katika makala haya -kueleza

-kujadili

-kuandika

-kuiga

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 115

MWM UK101

3 Maombo ya lugha Methali kazi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kutumia methali zenye neno kazi  katika sentensi -kusoma

-kuandika

-kutamka

-kutumia

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 116

MWM UK102

4 Sarufi Vivumishi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kubainisha vivumish vimilikishi  na vivumishi idadi ipasavyo -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK117

MWM UK103

5 Kuandika (insha) Mjadala Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika  insha ya majadala  juu ya sayansi imeleta manufaa -kueleza

-kutaja

-kuandika

-kuiga

-Picha kiabuni KS KCM

UK118

MWM UK104

2 1 Kuongea na kusikiliza Fani za ushairi  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kujadili namna  za ushairi  na kutunga kwa kiwango chao -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kutunga shairi

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 120

MWM UK103

2 Ufahamu Ngojera Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kuzingatia na kukariri shari la ngojera kwa ufashaha -kukariri

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK122

MWM UK104

3 Mapambo ya lugha Tanakali za sauti Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kutambua na kutumia  tanakali za sauti  -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK123

MWM UK105

4 Sarufi Viunganishi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kubainisha na kutumia viunganishi katika sentensi -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuni KS KCM

UK124

MWM UK125

5 Kuandika (insha) Ngojera Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha juu ya ngojera akitumia maneno aliyopewa kwa usahihi -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK126

MWM UK102

3 1 Kusikiliza na kuzungumza Viwanda Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza na kubainisha wanaofanya kazi katika kiwanda -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK 127

MWM UK103

2 Ufahamu Viwanda vyetu Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kusoma kutaja na kutumia msamiati mpya  kwa usahihi kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuni KS KCM

UK 128

MWM UK105

3 Mapabo ya lugha Shairi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,  kutambua na kukariri shairi mali, akili na bahati -kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 128

MWM UK105

4 Sarufi  Sifa –kitenzi  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kuunda sifa kutokana na kitenzi na kuzitumia katika sentensi -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK 129

MWM UK159

5 Kuandika  (insha) Kiwanda Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha juu ya kiwanda wanachokijua -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 129

MWM UK 106

4 1 Kusikiliza na kuzungumza Vitabu vya maktaba Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze  kutambua , kuzungumza juu vitabu vya maktaba walivyovisoma -kusoma

-kuchora

-kueleza

-kuuliza

-Picha kiabuni KS KCM

UK 127

MWM UK107

2 Ufahamu Ajira ya watoto Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 128

MWM UK108

3 Mapambo ya lugha Methali Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,  kutambua na kutumia methali katika sentensi -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK 128

MWM UK110

4 Sarufi Udogo na kawaida ya nomino  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza na kubadilisha nomino  kutoka hali ya kawaida hadi hali yaudogo -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-Picha kiabuni KS KCM

UK 131

MWM UK112

 

5 Kuandika (insha) Mazungumzo Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha kwa kujaza mameno ya mhusika katika mazungumzo -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 132

MWM UK112

5-6 1-5 Jaribio la kwanza

mutihani

Marudio Mwanafunzi aweze:

–        kujibu maswali aliyoulizwa

–        kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali

–        kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka

–        kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani

-kueleza

-kuongoza kujibu maswali

-kusikiliza

-kuandika

 

 

-Kitabu cha mwana fuzi

-mitihani yajaribio

KS KCM

UK 133

MWM UK115

7 1 Kusikiliza na kuzungumza/kongea Gugu maji  Ziwa viktoria  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kutumia baadhi ya msamiati wa vifaa vivavyo tokana na gugumaji la ziwa viktoria -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuni KS KCM

UK 134

MWM UK100

 

 

 

2 kusoma

Ufahamu

Ibilisi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kujibu na kujadili ujube uliko katika  ufahamu kwa usahihi -kueleza

-kujadili

-kuandika

-kuiga

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 135

MWM UK101

 

 

 

3 Maombo ya lugha Methali kazi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kutumia methali zenye neno maji   katika sentensi -kusoma

-kuandika

-kutamka

-kutumia

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 137

MWM UK102

 

 

 

4 Sarufi Ukumbwa wa nomino  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  na kubadilisha  nomino kutoka hali ya kawaida hadi ukubwa , na ukumbwa hadi hali ya kawaida -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK138

MWM UK103

 

 

 

5 Kuandika (insha) Picha Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika  insha juu ya picha waliyopewa -kueleza

-kutaja

-kuandika

-kuiga

-Picha kiabuni KS KCM

UK 139

MWM UK104

 

 

 

8 1 Kuongea na kusikiliza Kusafiri   Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kujadili namna   picha za usafiri  -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kutunga shairi

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 140

MWM UK103

 

 

 

2 Ufahamu Vidhibiti mwendo Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, fahamu  na kujibu maswali ya ufahamu  kwa usahihi -kukariri

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK141

MWM UK104

 

 

 

3 Mapambo ya lugha 999 Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kutambua na kusimulia hadithi  na kueleza funzo la hadithi -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunzi KS KCM

UK142

MWM UK105

 

 

 

4 Sarufi Viambishi ngeli Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kubainisha na kutumia viambishi ngeli katika sentensi -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuni KS KCM

UK143

MWM UK100

 

 

 

5 Kuandika (insha) Hotuba vidhibiti mwendo Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha juu ya vidhibiti mwendo -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK144

MWM UK102

 

 

 

 

10 1-5 Jaribio la kwanza Marudio Mwanafunzi aweze:

–        kujibu maswali aliyoulizwa

–        kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali

–        kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka

–        kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani

-kueleza

-kuongoza kujibu maswali

-kusikiliza

-kuandika

 

 

-Kitabu cha mwana fuzi

-mitihani yajaribio

KS KCM

UK32-37

MWM UK115

 

11 1-5 Jaribio la pili Marudio Mwanafunzi aweze:

–        kujibu maswali aliyoulizwa

–        kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali

–        kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka

–        kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani

-kueleza

-kuongoza kujibu maswali

-kusikiliza

-kuandika

 

 

-Kitabu cha mwana fuzi

-mitihani yajaribio

KS KCM

UK32-37

MWM UK115

 

12 1-5 Mutihani wa mwisho wa mwaka Marudio Mwanafunzi aweze:

–        kujibu maswali aliyoulizwa

–        kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali

–        kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka

–        kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani

-kueleza

-kuongoza kujibu maswali

-kusikiliza

-kuandika

 

 

-Kitabu cha mwana fuzi

-mitihani yajaribio

KS KCM

UK32-37

MWM UK115

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *