CLASS 7 KISWAHILI SCHEMES OF WORK TERM 1-3 UPDATED FREE

MAAZIMIO YA KAZI

DARASA LA_kwanza___7___MUHULA_WA KWANZA______MWAKA________

JUMAKIPINDIFUNZOMADAMALENGOSHUGHULI ZA MWALIMU NA MWANA FUNZINYENZOASILIA 
11Kusikiliza na kuzungumza/kongea Maamkizi na adabu jemaKufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kutumia baadhi ya msamiati wa maakizi, k.m. hujambo :sijambo. -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuni

-Kamusi

KS KCM

UK 2

MWM UK1

 
2kusoma

Ufahamu

Chada chemaKufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  ufahamu na kuigiza mchezo huo na kujibu maswali ya ufahamu -kueleza

-kutaja

-kuandika

-kuiga

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 3

MWM UK3

 
3Maombo ya lughaShairi ‘saiti kwenda wema’Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma na kukariri shairi  ‘na kueleza fuzo la shairi-kusoma

-kuandika

-kutamka

-kutumia

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 4

MWM UK4

 
4Sarufi Uakifishaji Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kutumia alama za uakifishaji-kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK5

MWM UK4

 
5Kuandika (insha)HeshimaKufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika na kutumia  maneno ya heshima ifaayo katika insha-kueleza

-kutaja

-kuandika

-kuiga

-Picha kiabuni

-Kamusi

KS KCM

UK5-7

MWM UK5

 
         
21Kuongea/kusikilizavitateKufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha kutamka na kutofautisha maana ya vitate-kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK7

MWM UK7

 
2Ufahamu Barua ya kirafikiKufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kujibu maswali na kuandika barua ya kirafikikusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK8

MWM UK8

 
3Mapambo ya lughaTanakali Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kutambua na kutumia tanakali za sauti katika sentensi-kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK9

MWM UK9

 
4Sarufi Uakifishaji Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kubainisha na kutumia alama za uakifishaji katika sentensi-kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuni

-Kamusi

KS KCM

UK11

MWM UK10

 
5Kuandika (insha) Ngoma ya umundi

(barua)

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha (barua) akitumia maneno aliyopewa kwa usahihi-kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK12

MWM UK10

 
31Kusikiliza na kuzungumzaVisawe Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha visawe na kutumia baadhi ya misamiati wa visawe kwa usahihi-kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK 13

MWM UK11

 
2Ufahamu Hotuba

Upatilize udungo

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kusoma kutaja na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihikusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuni

-Kamusi

KS KCM

UK 14

MWM UK12

 
3Mapabo ya lugha Methali zenye ‘ni’Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha na kutumia  baadhi ya  methali zenye ‘ni’ -kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 15

MWM UK14

 
4Sarufi Matumizi ya ‘ni’Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,  kutambua na kutumia ‘ni’ kwa usahihi-kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK17

MWM UK26

 
5Kuandika  (insha)Hutuba Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha akiunganisha sehemu za sentensi usahihi-kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 19

MWM UK18

 
41Kusikiliza na kuzungumzaKisa Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze  kutambua , kueleza na kutumia msamiati kuipamba lugha kwa usahihi -Picha kiabuni

-Kamusi

KS KCM

UK 22

MWM UK20

 
2Ufahamu Nyota njema Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi-kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 25

MWM UK22

 
3Mapambo ya lughaFani mbalimbaliKufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,  kutambua na kutumia fani mbalimbali katika sentensi -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK28

MWM UK23

 
4Sarufi Katika  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia ‘ katika’  kwa usahihi -Picha kiabuni

-Kamusi

KS KCM

UK29

MWM UK24

 
5Kuandika (insha)Uadishi wa hadithi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha kwa kujaza mapengo ukitumia maneno uliyopewa-kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK30

MWM UK

 
51Kusikiliza na

kuzungumza

 

Nomino ambataKufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza, kuorodhesha na kufafanua  baadhi ya nomio ambata-kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK 12

MWM UK25

 
2Ufahamu Uongo haufaiKufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,  kutambua  na kujibu maswali yaufahamu-kusikiliza

-kutamka

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuni

-Kamusi

KS KCM

UK38

 
3Mapambo ya lugha Methali zenye kwaKufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia na kuandika methali zenye neno ‘kwa’ kwausahihi-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK39

MWM UK

 
4Sarufi ‘kwa’

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia ‘kwa’katika sentensi kwa usahihi-kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK 40

MWM UK28

 
5Kuandika (insha)Picha hadithi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze  kubuni kuandika insha kwa kujaza mapengo ukitumia na kufasiri michoro walizo pewa-kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-Picha kiabuni

-Kamusi

KS KCM

UK 13

MWM UK

 
61Kusikiliza na kuzungumzaMajina ya kike na kieme

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja na na kueleza na kutumia baadhi ya majina ya kike na kiume-kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 30

MWM UK29

 
2Ufahamu Barua rasmi

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,  kutambua na kujibu  maswali ya ufahamu kwa usahihi-kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK31

MWM UK31

 
3Mapambo ya lughaManeno ya vitendo vya mwili

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia na kuandika maneno ya vitendo vya mwili -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuunganisha

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK  34

MWM UK33

 
4Sarufi Viulizi

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia  viulizi  katika sentensi kwa usahihi-kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuniKS KCM

UK  35

MWM UK34

 
5Kuandika (insha)Barua rasmi

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni na kuandika kwa hati zinazosomeka  barua rasmi kulingana na kichwa alichopewa-kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunz

-Kamusi

-Kamusi i

KS KCM

UK  46

MWM UK35

 
81Kusikiliza na kuzungumzaRedio na telivisheni Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuelezana kusikiliza ujube kwa redio au televisheni kufafanua ujube-kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuunganisha

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK 37

MWM UK37

 
2Ufahamu Malaria

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kueleza na kujibu  maswali ya ufahamu kwa usahihi-kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-Picha kiabuniMWM UK39 
3Mapambo ya lughaSemi za neno ‘piga’

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza na kutumia  semi zenye neno ‘piga’ katika sentensi kwa usahihi-kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

MWM UK40 
4Sarufi‘po’ ya wakati

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kubainisha na kutumia po’ ya wakati  kwa usahihi-kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-Picha kiabuni

-Kamusi

MWM UK 
5Kuandika (insha)Malaria  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni na kutunga na kuandika  insha  kwa kuzipanga sentensi ulizo pewa -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuunganisha

-kadi

-picha

michoro

MWM UK40 
91Kusikiliza na kuzungumzaUkimwi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma nakutumia baadhi ya msamiati wa kujadili athari za ukimwi -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

Kitabu cha wanafunziMWM UK 
2Ufahamu Ukimwi 

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kueleza na kujibu  maswali ya ufahamu kwa usahihi-kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuunganisha

-kadi

-picha

michoro

-Kamusi

MWM UK42 
3Mapambo ya lughaVitendawili Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kutambua kutega na kutegua  vitendawili na maana zake katika sentensi-kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuniMWM UK43 
4Sarufi Nge, Ngali

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza maana yatakiririna kutumia ‘nge’ na ‘ngali’ katika sentensi kwa usahihi-kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuunganisha

Kitabu cha wanafunziMWM UK45 
5Kuandika (insha)Ukimwi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha na kuandika insha kwa kujaza mapengo kwa maneno uliyopewa -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

MWM UK45 
101Kusikiliza na kuzungumzaUhusiano

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kufasiri maneno baadhi ya msamiati wa wa watu na nchi -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuunganisha

-Picha kiabuniMWM UK46 
2Ufahamu Kwame

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kuandika nakujibu maswali ya ufahamu-kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunzi

-Kamusi

MWM UK47 
3Mapambo ya lughaMafumbo

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kutambua na kufumba na kufumbua mafumbo  katika sentensi-kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuunganisha

-kadi

-picha

michoro

MWM UK51 
4Sarufi‘o’ rejeshi

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia na kueleza matumizi ‘o’ rejeshi kwa usahihi katika ngeli zote -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

Kitabu cha wanafunzi 

MWM UK52

 
5Kusikiliza na kuzungumzaWazalendo

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika inshatatu juu ya kupigania uhuru  kutoka kwenye jedwali -kusikiliza

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Redio

runinga

-Kamusi

MWM UK 54 
11        
        
        
        
        
        

 

121-5Marudio Marudio Mwanafunzi aweze:

–        kujibu maswali aliyoulizwa

–        kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali

–        kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka

–        kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani

-kueleza

-kuongoza kujibu maswali

-kusikiliza

-kuandika

 

 

-Kitabu cha mwana fuzi

-mitihani yajaribio

KS KCM

UK32-37

MWM UK115

 
        
        
        
        

 

131-5Mutihani wa mwisho wa mwakaMarudio Mwanafunzi aweze:

–        kujibu maswali aliyoulizwa

–        kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali

–        kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka

–        kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani

-kueleza

-kuongoza kujibu maswali

-kusikiliza

-kuandika

 

 

-Kitabu cha mwana fuzi

-mitihani yajaribio

KS KCM

UK32-37

MWM UK115

 
        
        
        
        

 

MAAZIMIO YA KAZI

DARASA LA___7____MUHULA_WA PILI______MWAKA________

JUMAKIPINDIFUNZOMADAMALENGOSHUGHULI ZA MWALIMU NA MWANA FUNZINYENZOASILIA 
11Kusikiliza na kuzungumza/kongea Mapambo ya mwili Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kutumia baadhi ya msamiati wa mapambo ya mwili -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuni

-Kamusi

KS KCM

UK 60

MWM UK61

 
2kusoma

Ufahamu

Nyama ya ulimi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  ufahamu na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi -kueleza

-kutaja

-kuandika

-kuiga

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 61

MWM UK62

 
3Maombo ya lughaSemi zenye neno ‘ulimi’Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kutamka na kutumia semi zenye neno ulimi  kwa usahihi-kusoma

-kuandika

-kutamka

-kutumia

-kadi

-picha

michoro

-Kamusi

KS KCM

UK 63

MWM UK63

 
4Sarufi ‘o’ rejeshi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kubainisha na kutumia ‘’o’ rejeshi mwishoni mwa kitenzi  -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK 65

MWM UK62

 
5Kuandika (insha)Mapambo  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika, kujadili  na kutumia  msamiati wa mapambo  kwa usahihi-kueleza

-kutaja

-kuandika

-kuiga

-Picha kiabuni

-Kamusi

KS KCM

UK 66

MWM UK63

 
         
21Kuongea na kusikilizaVifaa vya ufundi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha baadhi ya misamiati wa vifaa vya fundi Na kuitumia kwa usahihi-kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK67

MWM UK64

 
2Ufahamu Viatu Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kujibu na kuandika maswali yaufahamu kwa usahihikusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

-Kamusi

KS KCM

UK 69

MWM UK65

 
3Mapambo ya lugha methaliKufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kutambua na kutumia methali na maana katika sentensi-kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK70

MWM UK66

 
4Sarufi Hali ya kutendesha Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kubainisha na kunyambua vitenzi katika hali ya kutendesha -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

kunyambuamza

-Picha kiabuniKS KCM

UK 71

MWM UK67

 
5Kuandika (insha) Hatua za kutengeneza viatu Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha akifuata hatua alizopewa kwa usahihi-kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 73

MWM UK68

 
31Kusikiliza na kuzungumzaMajina ya nchi na ulaiya  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha kutaja na kueleza aina za bidhaaya majina ya nchi  na wenyenji wake -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK 76

MWM UK68

 
2Ufahamu Olimpiki Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kusoma kujadili na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihikusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuni

-Kamusi

KS KCM

UK77

MWM UK70

 
3Mapabo ya lugha Ufishadi umeenea Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,  kutambua na kukariri shairi ufihadi umeenea – kukariri

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK77

MWM UK71

 
4Sarufi Nge, ngali (ukanusho)Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia ‘nge, na ngali katika ukanusho-kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK 78

MWM UK72

 
5Kuandika  (insha)Kazi nitakayoifanya Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika isha juu ya kazi ambayo wangependa kuifanya watakapo kuwa wakumbwa-kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 78

MWM UK73

 
41Kusikiliza na kuzungumzaVitawe Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze  kutambua , kubainisha vitawe na kutumia  katika sentensi  -Picha kiabuniKS KCM

UK 109

MWM UK73

 
2Ufahamu Tunda  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi-kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

-Kamusi

KS KCM

UK78

MWM UK

 
3Mapambo ya lughaMethali Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,  kutambua maana  na kutumia methali  katika sentensi -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK 78

MWM UK74

 
4Sarufi Viambishi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kutumia viambishi mwanzoni na katikati ya neno  kwa usahihi -Picha kiabuni

-Kamusi

KS KCM

UK 79

MWM UK

 
5Kuandika (insha)Insha methali Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya methali uliyopewa -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 80

MWM UK76

 
51Kusikiliza na

kuzungumza

 

Malipo Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza, kuorodhesha na kutumia baadhi ya msamiati wa malipo-kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

Kitabu cha

-Kamusi wanafunzi

KS KCM

UK 81

MWM UK78

 
2Ufahamu Mkono mrefu Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,  kutambua  na kujibu maswali yaufahamu na kujadili mafunzo katika ngojera hili-kusikiliza

-kutamka

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuniKS KCM

UK 82

MWM UK79

 
3Mapambo ya lugha Semi ‘mkono’Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia semi zinazotumia neno mkono  -kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

-Kamusi

KS KCM

UK 83

MWM UK99

 
4Sarufi Kutendana

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kunyambua kitenzi katika hali ya kutendeana na kutendatenda-kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK 85

MWM UK81

 
5Kuandika (insha)Picha hadithi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze  kubuni kuandika insha kwa kujaza mapengo ukitumia picha aliyopewa-kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-Picha kiabuni

-Kamusi

KS KCM

UK 86

MWM UK82

 
61Kusikiliza na kuzungumzaWatu na kazi zao

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha, kueleza na kutumia baadhi ya  msamiati wa watu na kazi zao -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 87

MWM UK86

 
2Ufahamu Ufinyanzi

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,  kujadili funzo,kutambua na kujibu  maswali ya ufahamu kwa usahihi-kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK 88

MWM UK87

 
3Mapambo ya lughaWasakatonge

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kutumia na kukariri shairi kwa maadhari na kuleza ujumbe-kukariri

-kusikiliza

-kutambua

-kuunganisha

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK  89

MWM UK88

 
4Sarufi Viambishi

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kutumia na kuandika viamishi  awali na katikati mwa neno-kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuniKS KCM

UK  90

MWM UK90

 
5Kuandika (insha)Mjadala

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubuni na kuandika insha ya mjadala kulingana na kichwa alichopewa-kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK  91

MWM UK91

 
81Kusikiliza na kuzungumzaNomino za makundi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kumbainisha na kutumia  baadhi ya nomino za makundi -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuunganisha

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK  92

MWM UK92

 
2Ufahamu Idd mubarak

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma , kujadili ,kueleza na kujibu  maswali ya ufahamu kwa usahihi-kujadili

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-Picha kiabuniKS KCM

UK 94

MWM UK92

 
3Mapambo ya lughaKanakali za sauti

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza maana na kutumia  tanakaliza sauti katika sentensi kwa usahihi-kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK  95

MWM UK93

 
4SarufiVivumishi

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kubainisha na kutumia vivumishi  ya sifa , nafsi na za ziada ipasavyo-kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-Picha kiabuniKS KCM

UK  97

MWM UK96

 
5Kuandika (insha)Sherehe Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha juu ya  sherehe  kulingana na kichwa alichopewa-kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuunganisha

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 98

MWM UK97

 
91Kusikiliza na kuzungumzaTarakimu Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma nakutumia baadhi ya tarakimu kutoka 1,000’000 hadi 10,000,000 nakuziandika -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK  99

MWM UK98

 
2Ufahamu Mazingira yetu

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kueleza na kujibu  maswali ya ufahamu kwa usahihi-kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuunganisha

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK  99

MWM UK97

 
3Mapambo ya lughaSemi ‘shika’Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,   kubaini na kutumia baadhi ya semi zenye neno  ‘shika’-kusoma

-kusikiliza

-kukariri

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuniKS KCM

UK  100

MWM UK97

 
4Sarufi Vivumishi

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza kubainisha na kutumia vivumishi  vionyeshi  viulizi na ‘a’ unganifu kwa usahihi-kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuunganisha

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK  100

MWM UK98

 
5Kuandika (insha)Usafi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kubainisha na kuandika insha jinsi ya kufanya mitaa iwe safi-kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK  102

MWM UK99

 
101Kusikiliza na kuzungumzaHuduma ya kwanza

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kufasiri maneno ya picha, kujadili nakufafanua baadhi ya matendo ya toa huduma ya kwanza-kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuunganisha

-Picha kiabuniKS KCM

UK  102

 
2Ufahamu Tangazo

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kuandika nakujibu maswali ya ufahamu-kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK  103

 
3Mapambo ya lughaTanakali za sauti

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kutambua na kutumia  tanakali za sauti  zinazo eleza hali ya watu-kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuunganisha

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK  104

MWM UK

 
4SarufiKutendana

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia na kueleza vitenzi katika hali ya kutendana-kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK  104

MWM UK

 
5Kusikiliza na kuzungumzaMatangazo

 

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusikiliza  na kuandika insha juu ya matangazo-kusikiliza

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Redio

runinga

KS KCM

UK  106

MWM UK

 

 

 

111-5Marudio Marudio Mwanafunzi aweze:

–        kujibu maswali aliyoulizwa

–        kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali

–        kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka

–        kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani

-kueleza

-kuongoza kujibu maswali

-kusikiliza

-kuandika

 

 

-Kitabu cha mwana fuzi

-mitihani yajaribio

KS KCM

UK 107

MWM UK115

 
        
        
        
        

 

121-5Mutihani wa mwisho wa mwakaMarudio Mwanafunzi aweze:

–        kujibu maswali aliyoulizwa

–        kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali

–        kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka

–        kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani

-kueleza

-kuongoza kujibu maswali

-kusikiliza

-kuandika

 

 

-Kitabu cha mwana fuzi

-mitihani yajaribio

KS KCM

UK32-37

MWM UK115

 
        
        
        
        

 

MAAZIMIO YA KAZI

DARASA LA____7___MUHULA WA ___3___MWAKA________

JUMAKIPINDIFUNZOMADAMALENGOSHUGHULI ZA MWALIMU NA MWANA FUNZINYENZOASILIA 
11Kusikiliza na kuzungumza/kongea Vifaa vya teknolijia Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kutumia baadhi ya msamiati wa vifaa vya teknolojia viwandani -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuniKS KCM

UK 114

MWM UK100

 
2kusoma

Ufahamu

Tarakilishi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kujibu na kujadili ujube uliko katika makala haya-kueleza

-kujadili

-kuandika

-kuiga

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 115

MWM UK101

 
3Maombo ya lughaMethali kazi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kutumia methali zenye neno kazi  katika sentensi-kusoma

-kuandika

-kutamka

-kutumia

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 116

MWM UK102

 
4Sarufi Vivumishi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kubainisha vivumish vimilikishi  na vivumishi idadi ipasavyo -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK117

MWM UK103

 
5Kuandika (insha)Mjadala Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika  insha ya majadala  juu ya sayansi imeleta manufaa-kueleza

-kutaja

-kuandika

-kuiga

-Picha kiabuniKS KCM

UK118

MWM UK104

 
         
21Kuongea na kusikilizaFani za ushairi  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kujadili namna  za ushairi  na kutunga kwa kiwango chao -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kutunga shairi

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 120

MWM UK103

 
2Ufahamu Ngojera Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kuzingatia na kukariri shari la ngojera kwa ufashaha-kukariri

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK122

MWM UK104

 
3Mapambo ya lughaTanakali za sautiKufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kutambua na kutumia  tanakali za sauti  -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK123

MWM UK105

 
4Sarufi Viunganishi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kubainisha na kutumia viunganishi katika sentensi-kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuniKS KCM

UK124

MWM UK125

 
5Kuandika (insha) Ngojera Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha juu ya ngojera akitumia maneno aliyopewa kwa usahihi-kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK126

MWM UK102

 
31Kusikiliza na kuzungumzaViwanda Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kueleza na kubainisha wanaofanya kazi katika kiwanda -kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK 127

MWM UK103

 
2Ufahamu Viwanda vyetu Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kusoma kutaja na kutumia msamiati mpya  kwa usahihikusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuniKS KCM

UK 128

MWM UK105

 
3Mapabo ya lugha Shairi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,  kutambua na kukariri shairi mali, akili na bahati -kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 128

MWM UK105

 
4Sarufi  Sifa –kitenzi  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza, kubainisha na kuunda sifa kutokana na kitenzi na kuzitumia katika sentensi-kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK 129

MWM UK159

 
5Kuandika  (insha)Kiwanda Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha juu ya kiwanda wanachokijua-kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 129

MWM UK 106

 
41Kusikiliza na kuzungumzaVitabu vya maktaba Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze  kutambua , kuzungumza juu vitabu vya maktaba walivyovisoma-kusoma

-kuchora

-kueleza

-kuuliza

-Picha kiabuniKS KCM

UK 127

MWM UK107

 
2Ufahamu Ajira ya watoto Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi-kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 128

MWM UK108

 
3Mapambo ya lughaMethali Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,  kutambua na kutumia methali katika sentensi -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK 128

MWM UK110

 
4Sarufi Udogo na kawaida ya nomino  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kueleza na kubadilisha nomino  kutoka hali ya kawaida hadi hali yaudogo-kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-Picha kiabuniKS KCM

UK 131

MWM UK112

 

 
5Kuandika (insha)Mazungumzo Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha kwa kujaza mameno ya mhusika katika mazungumzo-kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 132

MWM UK112

 
5-61-5Jaribio la kwanza

mutihani

Marudio Mwanafunzi aweze:

–        kujibu maswali aliyoulizwa

–        kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali

–        kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka

–        kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani

-kueleza

-kuongoza kujibu maswali

-kusikiliza

-kuandika

 

 

-Kitabu cha mwana fuzi

-mitihani yajaribio

KS KCM

UK 133

MWM UK115

 
        
        
        
        
71Kusikiliza na kuzungumza/kongea Gugu maji  Ziwa viktoria  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze, kutumia baadhi ya msamiati wa vifaa vivavyo tokana na gugumaji la ziwa viktoria -kusoma

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuniKS KCM

UK 134

MWM UK100

 

 

 

2kusoma

Ufahamu

Ibilisi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kujibu na kujadili ujube uliko katika  ufahamu kwa usahihi-kueleza

-kujadili

-kuandika

-kuiga

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 135

MWM UK101

 

 

 

3Maombo ya lughaMethali kazi Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma,kubainisha na kutumia methali zenye neno maji   katika sentensi-kusoma

-kuandika

-kutamka

-kutumia

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 137

MWM UK102

 

 

 

4Sarufi Ukumbwa wa nomino  Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  na kubadilisha  nomino kutoka hali ya kawaida hadi ukubwa , na ukumbwa hadi hali ya kawaida -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK138

MWM UK103

 

 

 

5Kuandika (insha)Picha Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika  insha juu ya picha waliyopewa-kueleza

-kutaja

-kuandika

-kuiga

-Picha kiabuniKS KCM

UK 139

MWM UK104

 

 

 

         
81Kuongea na kusikilizaKusafiri   Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kujadili namna   picha za usafiri  -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kutunga shairi

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK 140

MWM UK103

 

 

 

2Ufahamu Vidhibiti mwendo Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, fahamu  na kujibu maswali ya ufahamu  kwa usahihi-kukariri

-kusikiliza

-kutambua

-kuzungumza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK141

MWM UK104

 

 

 

3Mapambo ya lugha999Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ,  kutambua na kusimulia hadithi  na kueleza funzo la hadithi -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

Kitabu cha wanafunziKS KCM

UK142

MWM UK105

 

 

 

4Sarufi Viambishi ngeli Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma, kubainisha na kutumia viambishi ngeli katika sentensi-kusoma

-kusikiliza

-kuandika

-kutambua

-kuzungumza

-Picha kiabuniKS KCM

UK143

MWM UK100

 

 

 

5Kuandika (insha) Hotuba vidhibiti mwendoKufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kumbuni, na kuandika insha juu ya vidhibiti mwendo -kusoma

-kutumia

-kueleza

-kuuliza

-kadi

-picha

michoro

KS KCM

UK144

MWM UK102

 

 

 

 

101-5Jaribio la kwanzaMarudio Mwanafunzi aweze:

–        kujibu maswali aliyoulizwa

–        kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali

–        kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka

–        kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani

-kueleza

-kuongoza kujibu maswali

-kusikiliza

-kuandika

 

 

-Kitabu cha mwana fuzi

-mitihani yajaribio

KS KCM

UK32-37

MWM UK115

 
        
        
        
        

 

111-5Jaribio la piliMarudio Mwanafunzi aweze:

–        kujibu maswali aliyoulizwa

–        kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali

–        kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka

–        kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani

-kueleza

-kuongoza kujibu maswali

-kusikiliza

-kuandika

 

 

-Kitabu cha mwana fuzi

-mitihani yajaribio

KS KCM

UK32-37

MWM UK115

 
        
        
        
        

 

121-5Mutihani wa mwisho wa mwakaMarudio Mwanafunzi aweze:

–        kujibu maswali aliyoulizwa

–        kukumbuka yale aliyo funzwa haponawali

–        kubuni na kuandika kwa hati ilyo someka

–        kustawisha ukakamavu wa kukabiliana na mtihani

-kueleza

-kuongoza kujibu maswali

-kusikiliza

-kuandika

 

 

-Kitabu cha mwana fuzi

-mitihani yajaribio

KS KCM

UK32-37

MWM UK115

 
        
        
        
        

 

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top